Skip to main content
Skip to main content

Polisi Juja wakamata washukiwa wa Mungiki kwenye madhabahu haramu

  • | Citizen TV
    7,982 views
    Duration: 2:22
    Polisi katika eneo la Juja wamewakamata watu kadhaa baada ya kuwafumania kwenye madhabahu yanayoaminika kutumiwa kwa shughuli haramu. Inadaiwa kuwa watu hao, wanashukiwa kuwa wafuasi w akundi haramu la mungiki walikuwa wanaendeleza itikadi zenye madhara, ikiwemo ukeketaji wa wanawake