Polisi Kakamega wachunguza kifo cha mwanamke aliyeuawa na mwili kupatikana Musanda

  • | NTV Video
    799 views

    Maafisa wa polisi mjini Kakamega wanachunguza kisa ambapo mwili wa mwanamke mwenye umri wa miaka 42 ulipatikana ukioza kwa nyumba ya kukodisha katika kijiji cha Musanda mtaa wa Shibuli eneo bunge la Lurambi

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya