Skip to main content
Skip to main content

Polisi Kayole wachunguza kisa cha unyanyasaji wa mwanamke

  • | Citizen TV
    3,020 views
    Duration: 2:29
    Polisi katika kituo cha Soweto, eneo la Kayole, wanachunguza kisa cha unyanyasaji wa mwanamke mwenye umri wa miaka 25 aliye na ulemavu wa akili, ambapo anadaiwa kushambuliwa na jamaa wake, hali iliyozua hofu miongoni mwa wakazi wanaodai familia hiyo imeficha ukweli. Mamake mshukiwa amekamatwa huku msako dhidi ya mshukiwa ukiendelea.