Polisi kulinda kahawa

  • | Citizen TV
    585 views

    Wakulima wa kahawa nchini na haswa katika eneo la kati huenda wakapa suluhu kutokana na ongezeko la wizi wa kahawa. Hii ni baada ya Waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki kutangaza kuwa serikali itatoa maafisa wa usalama katika kila kiwanda cha kahawa katika eneo hilo. Waziri Kindiki ameyasema haya alipofanya ziara kaunti ya Nyeri leo ambako amehudhuria Ibada ya jumapili.