Polisi kutoka Kebiringo wahamasishwa baada ya wakaazi kulalamikia ukosefu wa usalama

  • | Citizen TV
    401 views

    Maafisa wa polisi wa kituo cha Kebirigo kaunti ndogo ya Nyamira Kusini wamehamishwa baada ya wenyeji kutishia kuandaa maandamano kulalamikia ukosefu wa usalama.