Polisi Masinde akanusha shtaka la kumuua mchuuzi Boniface Kariuki

  • | KBC Video
    80 views

    Konstebo wa Polisi, Klinzy Masinde Barasa, amekana mashtaka ya kumuua muuzaji wa barakoa, Boniface Kariuki Mwangi, wakati wa maandamano ya tarehe 17 mwezi Juni jijini Nairobi. Maombi ya mawakili wake ya kutaka aachiliwe kwa dhamana kabla ya kesi kusikizwa yaligonga mwamba baada ya afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kupinga vikali kuachiliwa kwake. Mahakama Kuu imeamuru Masinde azuiliwe hadi tarehe 19 mwezi ujao, wakati maombi ya dhamana yatakaposikilizwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive