- 2,306 viewsDuration: 3:02Maafisa wa polisi mjini Nakuru wamenasa pombe haramu aina ya chang’aa zaidi ya lita 2000 katika eneo la bondeni – Buruburu, Nakuru mashariki. Oparesheni dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarati katika kaunti hiyo inaendelezwa na maafisa wa usalama.