Polisi mlolongo wanawazuilia washukiwa wawili

  • | Citizen TV
    8,010 views

    Maafisa wa polisi eneo la Mlolongo kaunti ya Machakos wanawazuilia washukiwa wawili kufuatia kutoweka kwa msusi jane mwende wiki mbili zilizopita. Wawili hao wamekamatwa kwa kile polisi wanasema ni uhusiano wa kimapenzi ambao huenda ulimchongea mwende ambaye pia alikuwa akifanya kazi ya kuuza mashamba. Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa mshukiwa mkuu bado anasakwa na polisi.