Polisi Mombasa wamkamata kijana shukiwa kuwa sehemu ya kundi la wahalifu Kisauni

  • | NTV Video
    4,519 views

    Katika eneo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa, polisi wamemkamata kijana mmoja anayeshukiwa kuwa sehemu ya kundi la wahalifu waliokuwa wakijificha katika jengo moja.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya