Polisi msituvuruge, Gachagua akihutubia. Sisi ni wapenda amani lakini tutakosoa serikali -Sen. Nyutu

  • | TV 47
    6,270 views

    "Polisi, msituvuruge wakati ambapo Gachagua atawahutubia Wakenya baada ya kuwasili Nairobi. Sisi ni wapenda amani, lakini tutaendelea kusimama kidete, kudunga sindano na kuikosoa serikali kila mara tutakapoona ikilegea au kuendeleza makosa." - Joe nyutu, Seneta, Murang'a

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __