Polisi Murang'a wanasa pombe ghushi

  • | Citizen TV
    897 views

    Polisi kaunti ya Murang'a walivamia nyumba moja ya kibinafsi ambayo bado inajengwa na kunasa pombe za aina mbalimbali zilighushiwa.