Skip to main content
Skip to main content

Polisi TransMara wachunguza mauaji ya msichana wa gredi ya tisa

  • | Citizen TV
    2,577 views
    Duration: 3:13
    Maafisa wa polisi eneo la Transmara kusini kaunti ya Narok wameanzisha msako wa jamaa anayehusishwa na mauaji ya kinyama ya mtahiniwa wa gredi ya tisa. Mwanafunzi huyo alibakwa na kisha kuuwawa na mwili wake kutupwa katika shamba la miwa jumatano. Mwanafunzi huyo alikuwa akielekea shuleni kufanya mtihani wa kjsea