Polisi waanza msako dhidi ya wafungwa waliotoroka

  • | Citizen TV
    3,669 views

    Polisi katika kaunti ya Kisumu wameanza msako dhidi ya washukiwa saba waliotoroka kutoka kituo cha polisi cha Koru jana jioni. Kulingana na ripoti ya polisi, saba hao walikuwa kati ya wafungwa tisa waliomfumania na kumzidi nguvu afisa wa polisi baada ya mmoja wao kuomba ruhusa ya kwenda msalani.