Polisi waanza msako wa mmiliki wa nyumba moja ambayo ni kiwanda cha pombe ghushi

  • | Citizen TV
    407 views

    Maafisa wa usalama katika eneo la Embu Kaskazini, kaunti ya Embu wameanza msako kumtafuta mmiliki wa nyumba moja ambayo ni kiwanda cha pombe ghushi katika soko la kathangarire