Polisi waanza uchunguzi kubaini kilichopelekea mwanamume mmoja kumuua mkewe Nyeri

  • | K24 Video
    90 views

    Polisi huko Karatina kaunti ya Nyeri wameanza uchunguzi kubaini kilichopelekea mwanamume mmoja kumuua mkewe usiku wa kuamkia leo kwa kumgonga kwa nyundo akidhibitisha kisa hicho kamanda wa polisi Mathira ya mashariki Benjamin Rotich anasema Judy Wangui aliuawa na mumewe Dedan Gachoka ambaye alijitoa uhai kwa kujitia kitanzi.