Polisi waanzisha misako ya pombe haramu katika maeneo bunge manne huko Taita Taveta

  • | Citizen TV
    389 views

    Vita dhidi ya pombe haramu kaunti ya TaitaTaveta vimeshika kasi huku asasi za usalama kaunti hiyo zikifanya misako katika maeneobunge manne. Tayari maeneo sita ya kuuzia vileo haramu yamefungwa huku watu wapatao 20 wakikamatwa.