Skip to main content
Skip to main content

Polisi waanzisha msako wa kijana mmoja mshukiwa kwa mauaji ya msichana Nyamira

  • | Citizen TV
    2,819 views
    Duration: 2:31
    Polisi kaunti ya Nyamira walianzisha msako wa kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 aliyekiri kumuuwa msichana mmoja na kuuzika mwili wake katika eneo la Nyamaiya, West Mugirango, kaunti ya Nyamira. Familia, jamaa na majirani walimeshinda katika eneo ambalo kaburi hilo linaaminika kuwa ili shuhudia kufukuliwa kwa mwili wa msichana huyo