Polisi wachunguza kifo cha mwalimu eneo bunge la Emuhaya

  • | Citizen TV
    1,712 views

    Maafisa wa polisi wameanzisha uchunguzi baada ya mwili wa mwalimu mmoja kupatikana katika kijiji cha Emakakha eneo bunge la Emuhaya. Maafisa wa polisi walifika eneo la mkasa baada ya naibu chifu kugundua mwili wa marehemu karibu na afisi yake Wakaazi wametaka uchunguzi kufanyika kubaini chanzo cha kifo hicho.