Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza kifo cha mwanafunzi wa MMUST aliyedungwa kisu na mwenzake

  • | Citizen TV
    888 views
    Polisi kaunti ya Kakamega wanachunguza mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha masinde muliro aliyedaiwa kudungwa kisu na mwenzake ambaye alijitia kitanzi baadaye. Inaripotiwa kuwa miili ya wawili hao ilipatikana kwenye nyumba ya kupanga. Haya yanajii huku mwanamume anayeshukiwa kumuua mamake kaunti ya kericho amefikishwa mahakamani na kukabiliwa na mashtaka ya mauaji.