Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza kisa cha sehemu ya mwili kupatikana Embakasi

  • | Citizen TV
    4,062 views
    Duration: 2:39
    Maafisa wa upelelezi wanachunguza kisa ambapo sehemu ya mwili wa binadamu ilipatikana katika barabara ya Airport North, Embakasi, ikiwa imefungwa kwenye gunia na kukosa kichwa na viungo vingine, hali iliyozua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wakazi. Kisa hicho kimeibua hofu kuhusu huenda kuwepo kwa msururu wa mauaji ya kikatili nchini.