- 2,988 viewsDuration: 2:45Polisi jijini Kisumu wameanza uchunguzi kuhusu uvamizi katika hoteli moja jijini humo, ambapo mali ya thamani isiyojulikana iliharibiwa. Mamia ya watu walifumania hoteli ya Fairways Jumatano asubuhi, ambapo walivunja vifaa mbali mbali na kuiba mali ya hoteli hiyo.