Polisi wadaiwa kurusha kilipuzi kwenye baa Isiolo

  • | KBC Video
    Maafisa wa polisi kaunti ya Isiolo wameshtumiwa kufuatia madai kwamba maafisa waliokuwa wanashika doria usiku wa Jumanne walitumia kilipuzi dhidi ya watu waliokuwa wakivinjari kwenye baa moja katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya