Polisi waendeleza msako kwa walio nje baada ya saa mbili usiku

  • | Citizen TV
    Msako wa kuwanasa wanaosalia nje wakati wa Kafyu umeendelea huku abiria wengi jijini Nairobi walilazimika kukesha barabarani baada ya kufungiwa na maafisa wa polisi. Haya yamejiri huku watu 30 waliokamatwa kwa kukiuka kanuni za kuzuia kusambaa kwa corona kaunti ya Nakuru wakifikishwa mahakamani.