Skip to main content
Skip to main content

Polisi waendeleza oparesheni ya kunasa pombe bandia Samburu

  • | Citizen TV
    584 views
    Duration: 2:51
    Vikosi vya usalama katika kaunti ya Samburu, kwa ushirikiano na wanachama wa nyumba kumi vimenasa pombe bandia iliyokusudiwa kusambazwa katika mji wa Maralal na viunga vyake. Wazazi wakilalamikia pombe hiyo kuharibu maisha ya mamia ya vijana kwa kuzima ndoto zao za upambanaji na kusalia kuwa mzigo kwa familia zao.