- 4,742 viewsDuration: 2:43Maombolezo na rambirambi kwa marehemu mbunge wa emurua dikirr Johana Ng’eno nyumbani kwake yaligeuka vurumai baada ya makundi mawili kutofautiana na kuanza kukabiliana. Mwanaharakati mmoja maarufu kutoka eneo hilo akikabiliwa na vijana, kwenye tukio lililowalazimu hata maafisa wa polisi kufyatua risasi hewani kudhibiti hali.