Polisi wahamishwa Ang'ata Barikoi

  • | Citizen TV
    1,427 views

    Hali imeendelea kusalia tete katika eneo la Angata Barikoi mpakani mwa eneo la Trans mara kaunti ya Narok ambako watu watatu walipigwa risasi kwenye mvutano wa ardhi. Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja leo akiwaongoza maafisa wa usalama kuzuru eneo hili huku sasa akiagiza kuhamishwa kwa maafisa wakuu waliokuwa wakihudumu eneo hilo.