Polisi wakashifiwa kwa kumteka mwanahabari Macharia Gaitho

  • | Citizen TV
    1,039 views

    Kwa mara nyingine idara ya usalama imewekwa kwenye darubini kufuatia tukio la kumteka nyara kwa fujo mwanahabari mkongwe Macharia Gaitho.