Polisi walazimika kurusha vitoa machozi kuwatawanya

  • | Citizen TV
    630 views

    Polisi katika kaunti ya Kericho walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya wauguzi wa kandarasi waliokuwa wakiandamana wakitaka serikali ya kaunti kutimiza ahadi yake ya kuwaajiri kazi za kudumu