Polisi walemewa na waandamanaji Kisumu

  • | Citizen TV
    5,490 views

    Makabiliano na mikimbio kati ya polisi na waandamanaji kwa zaidi ya saa tatu. Makabiliano haya yakiwalazimu polisi kurejea vituoni kufikia mwendo wa saa nane mchana baada ya vitoa machozi walivyokuwa navyo kuisha na idadi ya waandamanaji kuongezeka