Polisi wamemkamata mshukiwa wa ulaghai Rarieda, Siaya

  • | Citizen TV
    Polisi katika eneo la Rarieda kaunti ya Siaya wanamzuilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 25 kwa kosa la kumhadaa mwanamke mmoja katika mtandao wa kijamii. Mwanaume huyu aliyejitambulisha kwa mwanamke huyu kama aliyetoka ughaibuni na alikuja kutambulika kuwa ni mwanaume kutoka Nakuru.