"Polisi wamezunguka na sisi kwenye gari, wakatushusha barabarani"-

  • | BBC Swahili
    11,825 views
    "Polisi wamezunguka na sisi kwenye gari, wamekuja kutushusha saa mbili Usiku barabarani, sina simu, sina pesa" Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akielezea kilichotokea baada ya kuripotiwa kukamatwa na polisi siku ya April 23. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw