- 7,794 viewsDuration: 2:23Polisi jijini Kisumu walimkamata mshukiwa mmoja aliyemfyatulia risasi afisa wa usalama mapema leo asubuhi. Mshukiwa huyo aliyetambuliwa kama Kevin Oduor anadaiwa kuwa na watu wengine wawili waliofumaniwa katika soko la Nyamlori kaunti ya Kisumu. maafisa wa polisi pia walipata bunduki aina ya AK 47 pamoja na risasi saba