3 Sep 2025 10:05 am | Citizen TV 2,611 views Duration: 2:07 Polisi huko Mirangine kaunti ya Nyandarua wamewakamata washukiwa wawili wa mauaji ya kijana wa miaka 17 Samson Kahuria, kutoka kijiji cha Ramana, Kaunti hiyo