Polisi wanachunguza mkasa wa moto uliyowaua watoto wawili Kaunti ya Kirinyaga

  • | TV 47
    33 views

    Polisi wanachunguza mkasa wa moto uliyowaua watoto wawili katika ploti moja iliyoko eneo la Kagumo, Kaunti ya Kirinyaga.

    Moto huo uliharibu mali na nyumba zaidi ya 20.

    Wazima moto walijaribu kuuzima moto huo.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __