Polisi wanamzuilia mshukiwa wa wizi wa pikipiki Kajiado

  • | Citizen TV
    481 views

    Polisi mjini Kajiado wanamzuiliwa mshukiwa Mmoja ambaye alikamatwa akiwa na pikipiki ya wizi. Mshukiwa huyo alipigwa sana na wakazi na sasa anapokea matibabu hospitalini chini ya ulinzi wa polisi. Wahudumu wa boda boda walifunga barabara kuu ya Namanga, wakitaka asasi za usalama kukomesha wizi huo ambao umezidi