Polisi wanamzuilia mwanachama wa DCP baada ya kukamatwa huko Limuru

  • | Citizen TV
    5,106 views

    Haya yalipokuwa yakijiri mahakamani, afisa mmoja wa chama cha DCP Peter Kinyanjui aliyekuwa amedaiwa kutekwa nyara ataendelea kuzuiliwa katika kituo cha Ruiku kaunti ya Kiambu. Familia ya Kinyanjui hapo jana ilidai kuwa watu walioaminika kuwa maafisa wa upelelezi walimchukua kutoka nyumbani kwake eneo la Limuru.