Polisi wanasa bangi kilo 10 na washukiwa zaidi huko Mororo, Tana River

  • | Citizen TV
    718 views

    Washukiwa zaidi wamenaswa katika oparesheni ya kukomesha uuzaji wa dawa za kulevya katika mji wa Mororo kaunti ya Tana River huku zaidi ya kilo kumi za bangi zikipatikana.