Polisi wanasa bangi ya zaidi ya shilingi milioni-10 eneo la Ellebor

  • | KBC Video
    6 views

    Bangi ya thamani ya shilingi milioni-10 ilinaswa katika eneo la Ellebor karibu na mpaka baina ya Kenya na Ethiopia. Bangi hiyo ilikuwa iliyokuwa ikisafirishwa kwenye gari aina ya Land Cruiser ilikuwa imepakiwa kwenye magunia-12. Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Sololo, Edward Goko alifisia maafisa wa polisi na wenzao wa akiba kwa kumtia mbaroni mshukiwa mmoja. Goko aliwataka polisi zaidi wa akiba kupelekwa katika eeno hilo akisema kuwepo kwao kumeimarisha juhudi za kukabiliana na uahlifu katika kaunti ya Marsabit.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive