Polisi wanasa lita 680 za pombe haramu eneo la Kiharu

  • | Citizen TV
    514 views

    Polisi Wanamsaka Mfanyibiashara Anayeaminika Kuendeleza Biashara Ya Kutengeneza Na Kuuza Pombe Haramu Eneo La Kahuro Kaunti Ya Murang’a. Watu Wawili Wanazuiliwa Na Polisi Kuhusiana Na Kisa Hicho Huku Lita 680 Za Pombe Hiyo Ikinaswa.Linet Kinanu Ana Kina Cha Taarifa Hiyo