Polisi wanawasaka magaidi waliouwa watu watatu, Mandera

  • | Citizen TV
    595 views

    Maafisa wa usalama huko Mandera wanawasaka magaidi waliowauwa maafisa wawili wa polisi na mwalimu mmoja katika kituo cha polisi cha Wargadud, Mandera.