Polisi wanawatafuta washukiwa 13 waliohepa Gigiri

  • | Citizen TV
    1,710 views

    Maafisa wanane wa polisi katika kituo cha gigiri hapa Nairobi wamesimamishwa kazi kwa muda baada ya mahabusu 13 akiwemo mshukiwa mkuu wa mauwaji ya Kware kutoroka. Polisi wanasema bado wanawatafuta washukiwa hao wanaojumuisha raia 12 wa Eritrea.