Polisi wanawazuilia vijana wawili kwa kuiba simu, Machakos

  • | Citizen TV
    943 views

    Polisi katika kaunti ya Machakos wanawazuilia vijana wawili wanaodaiwa kuiba simu za wateja kutoka hospitali ya rufaa ya Machakos. Wawili hao walinaswa kwenye kanda za CCTV wakiingia hospitalini humo na kutekeleza wizi huu.