Polisi wanawazuilia washukiwa 7 kaunti ya Bomet

  • | Citizen TV
    4,046 views

    Polisi kaunti ya Bomet wamewakamata washukiwa saba walionaswa kwenye kanda ya video wakimlawiti mwanamke mmoja eneo bunge la Cheplaungu