Polisi wanawazuilia washukiwa wawili Rongai baada ya kutoweka kwa Tom Osinde

  • | Citizen TV
    4,508 views

    Maafisa wa polisi wanawazuilia wafanyikazi wawili wa aliyekuwa mfanyikazi wa hazina ya kitaifa Tom Osinde aliyeripotiwa kutoweka siku 10 zilizopita.