Polisi wanawazuilia watu 5 kuhusiana na mauaji ya mwanafunzi, Kiambu

  • | Citizen TV
    4,629 views

    Washukiwa watano wanazuiliwa na polisi eneo la Kiambaa Karuri, kaunti ya Kiambu kuhusiana na kifo tatanishi cha mwanafunzi wa tasisi ya usimamizi nayedaiwa kuanguka kutoka ghorofa ya saba ya jumba moja Ruaka, akiwa na marafiki wake Jumapili usiku Ruaka. Mwili wa Catherine Njeri aliyekuwa na miaka 23, ulipatikana na mfanyikazi wa jengo hilo