Polisi wanne ni miongoni mwa watu 7 walioshtakiwa kwenye jinamizi la pombe haramu

  • | Citizen TV
    1,204 views

    Huku vita dhidi ya pombe ya sumu na haramu hapa nchini vikiendelea, maafisa wanne wa polisi na watengezaji pombe watatu waliohusishwa na vifo vya watu 20 huko kirinyaga watasalia korokoroni kwa siku 12 kabla ya kujibu mashtaka ya mauaji na mashtaka mengine manne.