Skip to main content
Skip to main content

Polisi waomba bilioni 21 kujiimarisha kabla ya uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    615 views
    Duration: 3:17
    Inspekta jenerali wa polisi douglas kanja ameiambia bunge kuwa idara ya polisi inahitaji shilingi bilioni 21 zaidi ili kujiimarisha kabla ya uchaguzi mkuu mwakani. Kanja akisema idara hiyo pia ina upungufu wa maafisa wa polisi elfu kumi na tano na nusu ya vituo vya polisi havina magari. Haya yanajiri saa chache baada ya kanja kukutana na makamanda wa polisi kutoka kaunti zote hapa jijini nairobi