Polisi wapata mwili wa Tom Osinde ndani ya mto Kuja kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    5,828 views

    Kwenye taarifa za tanzia, Maafisa wa usalama wamepata mwili wa Tom Osinde, mfanyikazi wa hazina ya kitaifa ambaye aliripotiwa kutoweka siku kumi na moja zilizopita. mwili wa Tom Osinde umepatikana ndani ya mto Kuja kaunti ya Migori. Osinde alipotea ghafla siku ya jumapili na gari lake kupatikana kichakani maeneo ya Sigawa huko Transmara Magharibi.