Polisi wasema Mbunge Koimburi alipanga njama ya kujiteka nyara

  • | Citizen TV
    6,056 views

    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja sasa anasema kuwa mbunge wa Juja George Koimburi alijipangia njama ya Kujiteka Nyara mwenyewe. Kanja akiongeza kuwa, Koimburi alifanya njama hii na wandani wake huku akiorodhesha kila anasema ni matukio ya kabla ya kupatikana kwake kwenye shamba la kahawa. Haya yanajiri huku sasa ikibainika kuwa watu watatu akiwemo mwenyekiti wa hazina ya CDF ya Juja wamekamatwa kuhusiana na kisa hicho.