Polisi wasema miili 21 imepatikana ndani ya mto Yala

  • | Citizen TV
    Polisi wasema miili 21 imepatikana ndani ya mto Yala Haya ni matukio ya chini ya muda wa miezi mitatu pekee Wakazi wanadai miili hiyo husafirishwa hapo kwa magari yasiyojulikana Wakazi wanasema miili hiyo ambayo haijatambuliwa si ya wakazi wa hapo Kwa mujibu wa wakazi miili mitatu hutolewa ndani ya mto huu kila wiki